Monday, 18 September 2017

GEITA: Madiwani wasusia kikao cha serikali na uongozi wa mgodi wa GGM

Siku moja baada ya Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Geita Mbunge wa Jimbo la Geita Mh Joseph Msukuma kukamatwa na Jeshi la Polisi Madiwani wasusia kikao cha serikali na uongozi wa mgodi wa Geita huku wengine wazikimbia familia zao wakiogopa kukamatwa hali iliyosababisha kamishina wa madini nchini kushindwa kutatua mgogoro huo.

21761693_1339814546129516_1086433866026680696_n.jpg 

Chanzo: ITV

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search