Monday, 18 September 2017

PICHA ZA HAMISA AKIWA NA DIAMOND WAMELALA PAMOJA ZAENDELEA KUTOLEWA


Wadau huku Instagram wanaendelea kurusha picha za ushahidi wa Penzi la Diamond na Hamissa Mobetto na kuwa usiku wa leo wamelala wote nyumbani kwa Diamond tena kitanda kile kile alichokuwa analala na Zari....


Mdau mmoja kaandika hivi:

"Hivi Mpaka sasa kuna mtu bado hakubališŸ¤£šŸ¤£Mnaosema ni PhotoShop hii ni Real jamani kama hamuamini mkawaulize wafanyakazi wa madalešŸ˜‚ na mama dangote anajua vizuri tu

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search