Thursday, 21 September 2017

Precision Air Yapumulia Machine. Yapunguza Wafanyakazi 136

 Precision Air Yapumulia Machine. Yapunguza Wafanyakazi 136
Makali ya Uchumi , yanazidi kukaza, leo shirika la ndege la Precision Air, limepunguza wafanyakazi 136 wakiwemo cibin crew 10...

Najua wengi humu mtasema hali hii imechangiwa na kufuka kwa ATCL na ushindani toka Fast Jet, lakini this is not the case, nimepanda zote, ATCL, Fast Jet, na ATCL, zote zina suffer, Purchasing power ya Watanzania kusafiri kwa ndege, imepungua, soon mtashuhudia mashirika mengine yakipunguza frequency na mtashuhudia mabenki yakifungasha na kuondoka.

This is not good at all.

Paskali

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search