Monday, 4 September 2017

SIKU 38 BAADA YA KUJIFUNGUA HATIMAYE LINNAH AMWEKA MTOTO WAKE HADHARANI HEBU MUANGALIE HUYU HAPA

Tangu mwimbaji wa kike wa Bongofleva Linah kujifungua mtoto wa kwanza July 25, 2017 kwa mara ya kwanza leo September 3, 2017 amepost kwenye Instagram yake picha ya mtoto huyo ambaye tangu alipozaliwa hakuwahi kufanya hivyo.

Katika picha hiyo Linah ameandika
“Hello there so y’all were curious to see my lil Angel ayt??…. Now here we go, meet Tracey Paris my beautiful princess….. @paristraceyparis@kids_cityshopping” – LinahPost a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search