Saturday, 9 September 2017

UHURU KENYATTA AAGIZA ULINZI UONGEZWE KWENYE HOSPITALI ALIYOLAZWA TUNDU LISSU

Rais Uhuru Kenyatta Ameliagiza Jeshi La Polisi Kuongeza Ulinzi Katika Hospitali Ya Agha Khan Nairobi Alipolazwa Tundu Lissu.

Hii ni kwa ajili ya kuchukua tahadhari ya usalama ili wale waovu kama watajaribu kumfuatilia tena huko Kenya basi washughulikiwe ipasavyo.

Source ITV habari!

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search