Sunday, 17 September 2017

ZARI AJIBU MAPIGO -APIGA PICHA AKIWA OUTING NA MWANAUME MWINGINE

 Zari Ameamua Kufanya ile inayoitwa Mwaga ugali na mie nimwage Mboga, Baada ya tetesi kuwa Diamond alikuwa Zanzibar na Mrembo Dillish.....Leo amekuwa bize kwenye mtandao wake wa Instagram akionyesha kuwa nae ana mtu wake mwingine zaidi ya Diamond ambae wameenda nae Kidate, Mchana alipost picha hiyo hapo chini yenye Caption "Lunch Date" na jioni hii ndio akamalizea kabisa na Picha inayoonyesha Class mbili na kinywaji ikiwa na maana kuwa yupo somewhere na someone special

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search