Friday, 6 October 2017

CHADEMA WAFANYA MKUATANO NA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU MASUALA MBALIMBALI YA NCHI

Waandishi wa habari kutoka Vyombo mbalimbali vya utangazaji wameshafika Makao Makuu ya Chadema tumeambiwa mkutano na waandishi wa habari utaanza muda mfupi ujao.
Viongozi wakuu wa Chadema wameshafika ukimbini.Tazama moja kwa moja Viongozi wa Chama wakiongea na Taifa kupitia Waandishi wa habari muda huu

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search