Friday, 13 October 2017

Emmanuel Mbasha Apata Mchumba Mpya Baada ya Kutemana na Flora...Kumtambulisha leo

ALIYEKUWA mume na mzazi mwenza wa mwanamuziki wa injili, Flora Mbasha, anayejulikana kwa jina la Emmanuel Mbasha, ametoa ahadi ya kumuanika hadharani kesho mwandani wake wa sasa, baada ya kuchoshwa na maneno maneno ya mashabiki kuhusiana na nani ni mrithi wa Flora.
Mbasha ambaye tangu kuolewa kwa mzazi mwenziye hakuwahi kuweka wazi uhusiano wake na mtu mwingine, amefungukia ishu hiyo kupitia ukurasa wake wa Instagram, ambapo amesema kesho anapasua jipu!


Baada ya Post yake hiyo mashabiki wakateremsha koment zao, huku wakionyesha shauku kubwa ya kuifikia kesho waweze kumjua huyo mpenzi wake wa sasa.
NA ISRI MOHAMED/GPL

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search