Wednesday, 18 October 2017

HII HAPA PICHA YA LISSU YA KWANZA AKIWA HOSPITALINI NAIROBI ALIKOLAZWA

Baada ya jana Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kusema kuwa wananchi wataanza kumuona na kusikia sauti ya Mbunge wa Singida Mashariki, Mhe. Tundu Lissu.

Hii hapa picha yake akioneka na yupo hospitalini, jijini Nairobi.

[​IMG]

Image may contain: 2 people, people smiling, people standing

Aluta.jpeg


Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search