Thursday, 19 October 2017

Lazaro Nyarandu: Nitapeleka mswada binafsi kurudisha mchakato upya wa katiba ya Warioba, tupate katiba mpya

Image result for lazaro nyalandu

Anaandika Mh Mbunge: Lazaro Nyalandu

NAKUSUDIA kuwasilisha kwa SPIKA wa BUNGE, Mh. Job Ndugai, Mb., AZMA yangu ya kuleta MUSWADA binafsi wa SHERIA katika KIKAO kijacho cha BUNGE itakayoweka SHARTI la kurejea UPYA mjadala wa KATIBA MPYA ya Tanzania, kwa KUZINGATIA RASIMU ya KATIBA kama ilivyowasilishwa na TUME ya JAJI WARIOBA. (Lazaro S. Nyalandu, Mb., Singida Kaskazini-CCM).

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search