Monday, 9 October 2017

Rais Magufuli awaapisha Mawaziri na Manaibu Waziri kutokana na mabadiliko ya Baraza

Baada ya  Rais John Magufuli kufanya mabadiliko kwenye baraza lake la mawaziri akiwahamisha baadhi, wengine wakiondoka na wapya wakikanyaga barazani. Leo amewaapisha kushika nyadhifa zao rasmi.


Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search