Monday, 2 October 2017

UTAFITI:KUKAA NA NJAA MUDA MREFU KUNA SABABISHA NYWELE KUREFU HARAKA SANA


Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na kitengo cha utafiti cha wanasayansi nchini Brazil EurekAlert, kukaa na njaa kunapelekea nywele kurefuka kwa haraka.

Kitengo hicho katika utafiti wake, kimenukuliwa na jarida la Cell Reports kuwa kukaa na njaa kunapelekea nywele kukua kwa haraka.

Utafiti huo ulifanywa kwa kutumia kundi la panya waliopewa chakula kichache na kundi la panya waliopewa chakula kwa kiasi cha kawaida kwa mlo wa kila siku.

Utafiti huo ulifanywa kwa muda wa miezi 6.


Katika utafiti huo panya waliopewa chakula kichache walionekana kuwa na mabadiliko katika miili huku manyoya yakiongezeka.

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search