Monday, 30 October 2017

YANGA NA SIMBA ZATOKA SARE YA 1-1 ANGALIA MAGOLI YALIYOFUNGWA SIKU HIYO

Leo Jumamosi October 28, 2017 imechezwa mechi ya ligi kuu Tanzania bara ‘Dar derby’  Yanga vs Simba imechezwa kwenye uwanja wa Uhuru na timu hizo kutoka sare ya kufungana 1-1.
Simba walitangulia kupata goli kupitia kwa kiungo wao mshambuliaji Shiza Kichuya dakika ya 58 kipindi cha kwanza, Yanga wakasawazisha dakika mbili baadae goli likifungwa na Obrey Chirwa.

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search