Friday, 17 November 2017

KWELI VYUMA VIMEKAZA -ANGALIA VIDEO MSANII FEROUZ ALIVYOBAMBWA LIVE AKIUZA SAMAKI MTAANI

Video inayosambaa ikimuonyesha Ferouz wa Daz Nundaz msanii aliyetikisa na wimbo uitwao wa Starehe uliofanya vizuri mpaka akapewa zawadi na mh rais wa zamani mkapa.
Hapo awali inasemekana maisha yake yalikuwa magumu na pia ni mtumiaji wa madawa ya kulevya! VIDEO: Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search