Saturday, 11 November 2017

RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MKUTANO NA WATANZANIA WAISHIO NCHINI UGANDA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na Watanzania waishio nchini Uganda katika mji wa Masaka na kuwahakikishia kuwa hatua zilizochukuliwa na serikali ya awamu ya tano zimeanza kuzaa matunda.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Watanzania waishio nchini Uganda katika eneo la Masaka.

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search