Monday, 6 November 2017

RAIS MAGUFULI AMETOA AGIZO HILI KWA MKUU WA MKOA WA KAGERA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amewaagiza wakuu wa mikoa ya Kagera kuhakikisha mifugo yote inawekwa alama kwa mujibu wa sheria ili kurahisisha utambuzi wa mifugo inayoingizwa nchini.


Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search