Tuesday, 7 November 2017

RAIS MAGUFULI AWATUMBUA WAKURUGENZI WA MANISPAA YA BUKOBA NA BUKOBA VIJIJINI

Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania,Dkt John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa mkurugenzi wa halmashauri ya manispaa ya Bukoba bwana Erato Aron Mfugale na mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Bukoba Vijijini Bi Mwantum Kitwana Dau.

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search