Monday, 4 December 2017

ANTHONY DIALO ACHAGULIWA KUWA MWENYEKITI WA CCM MKOA WA MWANZA

Mkurugenzi mtendaji wa Kampuni ya SAHARA MEDIA GROUP Dr. Antony Diallo ameibuka mshindi kwenye matokeo ya Uchaguzi nafasi ya Mwenekiti wa Chamá Chamá Mapinduzi Mkoa Wa Mwanza.

Diallo amemshinda mpinzani wake Sadik Meck Sadick aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam kwa kura


Diallo amepata kura 555,Meck kura 520.

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search