Thursday, 7 December 2017

HUU NDIO UJUMBE ULIOANDIKWA NA UCHEBE MUME WASHILOLE BAADA YA HIYO JANA KUFUNGA NDOA

Baada ya Kufanikiwa Kufunga Ndoa na Shilole Uchebe Aandika Ujumbe Mzito Ndugu wa Shilole
Siku ya Jana Ilikuwa ni siku ya furaha na ya kumbukumbu kwa msanii Zuwena Mohamed ‘Shilole’  na mpenzi wake Ashraf Uchebe waliyefunga  ndoa, usiku wa kuamkia leo maeneo ya Masaki  jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo

Staa huyo alikuwa akisisitiza kufunga ndoa mwaka huu lakini watu walikuwa wakichukulia poa kwa sababu si mara ya kwanza kutoa kauli kama hiyo lakini jana Desemba 6 akafanya kweli.

Baada ya kukamilika kwa ndoa hiyo mume wa shilole Uchebe ameamua kuonyesha wazi kilichomuumiza siku ya jana kutoka kwa ndugu wa mkewe ambao walisusia ndoa hiyo na kuamua kuwaandikia ujumbe mzito kupitia ukrasa wake wa Instagram.

Uchebe ameandika Hivi "Naomba nitoe shukrani kwa wote mliokuja kuudhuria sherehe yangu nhii ndogo ya kumuoa mwanamke wa maisha yangu zuwena japo sherehe haikuwa kubwa kama za mastaa wengine ila kwa mungu ni kubwa maana tumeachana na zinaa ... ila naomba nitoe masikitiko yangu kwa ndugu wa zuwena  waliomsusia zuwena ili sherehe  eti awataki mimi nimuoe jamani zuwena na mimi wote ni watu wa zima haina haja ya kuchaguliana mke au mume Zuwena ameniridhia na mimi nimemridhia ajabu ndugu zake walimpokonya simu yake  eti kuzuia harusi... kwamba tusiwasiliane ila mungu akipangabinadamu hana nafasi nashukuru mke wangu kwa kutumia kila mbinu ili mradi hii ndoa ifungwe  ingawa ndugu zako walipinga asilimia 100 ila ulipania unachokiamininakupenda mke wangu... asante kwa kuamua kuwa mke wangu na kubeba mimba yangu karibu utanizalia mtoto ... nakupenda zuwena wangu"

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search