Monday, 11 December 2017

KUHUSU TAARIFA YA MEYA WA UBUNGO KUPIGANA NA GODBLESS LEMA

Meya wa Ubungo(Chadema), Boniface Jacob ameeleza kilichotokea kati yake na Mbunge wa Arusha Mjini(Chadema), Godbless Lema baada ya taarifa kusambaa kuwa wamepigana kwenye kikao cha Kamati Kuu ya chama hicho.

Taarifa hizo zimeeleza kuwa Lema alikuwa anamtuhumu Mbunge wa Kibamba(Chadema), John Mnyika kuwasaliti na kuwa na mipango ya kuhamia CCM ndipo Jacob aliposimama na kumwambia Lema aache kumsingizia Mnyika mambo ya kipuuzi ndipo Lema alipomrushia ngumi meya huyo.

MSIKILIZE HAPA MEYA WA UBUNGO BONIFACE JACOB AKIZUNGUMZA


Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search