Monday, 18 December 2017

MAGUFULI, DKT. SHEIN NA PHILIP MANGULA WACHAGULIWA KUWANIA UONGOZI CCMChama Cha Mapinduzi (CCM) kinapenda kuwajulisha wanachama wa CCM na Umma wa watanzania kuwa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imefanya uteuzi wa kuwapitisha wana CCM ambao wataomba ridhaa ya Mwenyekiti wa CCM, Makamu wa Mwenyekiti wa CCM Bara na Makamu wa Mwenyekiti wa CCM Zanzibar

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search