Monday, 11 December 2017

Matukio katika Maadhimisho ya Miaka 56 ya Uhuru wa Tanzania Bara.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wakati wa maadhimisho ya miaka 56 ya Uhuru wa Tanzania Bara leo Mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt John Pombe Magufuli akisalimia wananchi wakati wa Maadhimisho ya miaka 56 ya Uhuru wa Tanzania Bara leo Mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt John Pombe Magufuli akikagua Gwaride wakati wa Maadhimisho ya miaka 56 ya Uhuru wa Tanzania Bara leo Mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt John Pombe Magufuli akimkabidhi Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa orodha majina ya wafungwa aliowapatia msamaha katika sherehe za maadhimisho ya miaka 56 ya Uhuru wa Tanzania Bara leo Mkoani Dodoma.
Kikosi cha Komando kikionyesha umahiri katika mapambano na adui wakati wa maadhimisho ya miaka 56 ya Uhuru wa Tanzania Bara leo Mkoani Dodoma.
Katibu wa Tume ya Utumishi wa Waalimu Bi.Wnifrida Rutaindurwa(kushoto) akisoma jarida la nchi yetu linalotolewa na Idara ya Habari Maelezo wakati wa maadhimisho ya miaka 56 ya Uhuru wa Tanzania Bara leo Mkoani Dodoma.

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search