Saturday, 23 December 2017

Mobetto na Zari Ligi Bado Mbichi Wazidi Kurushana Roho

Mobetto na Zari Ligi Bado Mbichi Wazidi Kurushana Roho Mobetto Amwambia Zari ''Ungejiamini Wako Angetulia”

Kutokana na kile ambacho kinaendelea kwenye mitandao ya kijamii kati ya Zari the bosslady  na Hamisa Mobetto ambao wanadaiwa kuwa wanarushiana vijembe kwenye mitandao ya kijamii kutokana na who wawili kuhost party usiku wa December 21,2017 Kampala Uganda na kusemekana kuwa Zari alijaza watu wengi kuliko Hamisa Mobetto.Hamisa Mobetto aonyesha kuendelea kurusha vijembe kwa Zari kupitia mtandao wake wa snapchat ambapo Hamisa ameandika “Tembo gani anang’olewa pembe kila siku” na Zari kumjibu “vikatuni kumi wanakusanya michango ya kusaidia watoto, vinyago kwenye mitandao ya kijamii,walioshindwa na maisha wakajikusanya kumshusha mtu mmoja,lakini mkashindwa#TheGeneral”

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search