Thursday, 14 December 2017

Serikali Imeagiza Ekari 129 Zilizotunzwa Kwa Ajili ya Kuzikia Viongozi Zirudishwe Kwa Wananchi


DODOMA: Rais Magufuli ameagiza eka 129 za ardhi iliyopo Iyumbu, ambazo serikali ilikusudia zitumike kwa ajili ya kuzika viongozi zirudishwe kwa wananchi
-
Rais amesema sheria hiyo ilipitishwa kabla hajawa rais ila ana uhakika hakuna kiongozi atakayetaka kuzikwa hapo kwani watapenda kuzikwa kwao

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search