Tuesday, 12 December 2017

SHILOLE AMTOLEA POVU DADA YAKE AMABYE ALIKUWA HATAKI SHILOLE AOLEWE

Image result for SHILOLE
Mwimbaji wa Bongofleva Shilole amefunguka kwa  mara ya kwanza toka alipofunga ndoa na Uchebe ambapo moja ya vitu alivyozungumzia ni dada yake kutotaka yeye aolewe.

Shilole amesema “Dada yangu hakukubali mimi niolewe na nilimwambia nimefika muda wa kuolewa sijui ananiona Bikra mpaka leo, mimi nina maamuzi yangu, mimi mkubwa ujue nina watoto wawili alafu bado niamuliwe? nilimwambia nina mtu nampenda usinichagulie mtu wa kuwa nae“

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search