Tuesday, 19 December 2017

UCHAGUZI MKUU CCM MAGUFULI ASHINDA KWA KURA ZOTE

Mkutano Mkuu wa Tisa CCM Dodoma:

John Pombe Magufuli amepita kwa kura zote kuwa Mwenyekiti mpya wa CCM hadi mwaka 2022.Sambamba naye, Makamu wawili,yaani Rais wa SMZ Mohammed Shein na Mzee Mangula wamepita kwa kura kedekede.

Wangine walioingia NEC ni Masatu Stephen Masatu amepata kura nyingi kuliko wagombea wote wa upande wa Tanzania Bara.

Pia wanahabari wawili wamepenya kuingia NEC ya CCM nao ni Ernest Sungura Mkurugenzi wa TMF na Angel Akilimali Mkurugenzi wa Radio Uhuru.

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search