Wednesday, 6 December 2017

WABUNGE LIJUALIKALI NA SUSAN KIWANGA WARUDISHWA RUMANDE BAADA YA HAKIMU ANAYESIKILIZA KESI YAO KUWA MGONJWA

MORO.jpg
Wabunge wa CHADEMA mkoani Morogoro, Susan Kiwanga na Peter Lijualikali pamoja na washtakiwa wengine 36 wamepelekwa rumande kufuatia hakimu wa kesi yao kupata dharura ya kuwa mgonjwa.

Washtakiwa hao kwa ujumla hao wanakabiliwa na mashtaka kadhaa likiwemo la kuchoma moto ofisi za serikali katika uchaguzi wa mdogo wa madiwani uliomalizika hivi karibuni

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search