Tuesday, 23 January 2018

AUNT EZEKIEL NAE YAMKUTA ANGALIA ALICHOANDIKA KWENYE UKURASA WAKE

Aunt Ezekieli Yamemfika Hapa..... "Dah!wanaume!"
Muigizaji kutoka Bongo Movie Aunty Ezekiel amechukua headlines  katika mitandao ya kijamii baada ya kupost caption ambayo imeacha maswali kwa baadhi ya mashabiki kupitia ukurasa wake wa instagram na wengi kutafsiri hueda akawa kwenye migogoro na baba mtoto wake Mose Iyobo.

 “Sina kawaida ya kuweka Maisha yangu kwenye Mitandao ila huku tunakoendea 🙌 Dah!wanaume!!!!👍“

Ingawa Aunt Ezekiel ni miongoni mwa waigizaji kutoka Bongo Movie ambao hawapendelei kuweka maisha ya mahusiano yao ya kimapenzi katika mitandao ya kijamii.

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search