Wednesday, 10 January 2018

BoT yakanusha taarifa zilizozagaa za hali ya Mabenki nchini na kutishia hali ya kifedha

Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imewataka wananchi kupuuza taarifa zinazodai kuwa, sekta ya kibenki nchini si salama.

BoT imeonya kuhusu usambazaji wa taarifa zisizo sahihi.

IMG_20180109_183704.jpg

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search