Friday, 12 January 2018

Botswana yamshutumu Trump kwa kutusi nchi za Afrika

Serikali imetoa kauli ya kukemea vikali kauli ya Rais Trump akizifananisha nchi za Afrika, Haiti, Ecuador na 'Tundu la Choo'.
Wizara ya Mambo ya Nje imemuita Balozi wa Marekani nchini humo ili atoe maelezo kuhusu kauli hiyo ya Trump.

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search