Thursday, 11 January 2018

Breaking News: Moto Wazuka Katika Jengo la Benki Kuu

Breaking News: Moto Wazuka Katika Jengo la Benki Kuu


Moto umezuka katika jengo la Benki Kuu jijini Mwanza leo Alhamisi, Januari 11, 2018 asubuhi. Chanzo cha moto huo kinaelezwa kuwa ni shoti ya umeme. Endelea kufuatilia mitandao yetu kwa taarifa zaidi.

Chanzo: ITV.

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search