Tuesday, 2 January 2018

FIFA KUFANYIA MKUTANO WAKE MKUU NCHINI TANZANIA

Image result
Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani FIFA, limeiteua Tanzania kufanyia mkutano wake mkuu wa FIFA  wa mwaka utakaoshirikisha mataifa 19.‬ ‪Mkutano huo mkubwa wa kihistoria umepangwa kufanyika katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere Februari 2018 na utaongozwa na Rais wa FIFA, Gian Infatino

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search