Tuesday, 2 January 2018

Hatimae Polepole awaangukia Maaskofu
Baada ya maaskofu kuliamsha dude kuanzia kipindi cha Salam za krismasi na salam za mwaka Mpya, hatimae katibu mwenezi CCM ndugu Humphrey polepole amejitokeza na kuwaomba maaskofu waishauri serikali sirini kwani kwa hali ilivyo sasa ni kama wanaidhalilisha, Rais yuko tayari kupokea ushauri na kuufanyia kazi

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search