Wednesday, 10 January 2018

Lema amcharukia Lowassa kuhusu JPM

Baada ya Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa kumtembelea Rais Magufuli Ikulu Leo January 9, 2018 Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema ameonesha kutokufurahia maneneo aliyoyasema  Lowassa baada ya kutoka Ikulu.

Kupitia ukurasa wake Twitter lema ameandika “Lowassa, umeikosea Tanzania kwa kauli baada ya kutoka Ikulu, mema yapi umeyaona katika Serikali hii? Wkt Mbunge Lissu bado anauguza majeraha ya risasi,”– Lema

“Maiti zinaokotwa, Uchumi unaanguka, Benki zinafungwa, demokrasia imekufa Bungeni /Nje ya Bunge na Sioi mkwe wako bado yuko Magereza,”- Lema

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search