Monday, 15 January 2018

Lowassa: Ujumbe Wa Magufuli Ni Kunitaka Nirejee CCM, Ila Nilikataa

LOWASSA ATOA YA MOYONI BAADA YA KUKUTANA NA RAIS MAGUFULI: Aeleza alichozungumza baada ya kukutana na rais Magufuli.

Asema Rais Magufuli ambaye pia ni mwenyekiti wa CCM alimuita Ikulu kwa lengo la kumshawishi arejee CCM, suala ambalo amedai hakukubaliana naye na kumweleza kwamba uamuzi wake wa kukihama chama hicho na kujiunga CHADEMA haukuwa wa kubahatisha.
26731284_1086325124840440_3338912963767702095_n.jpg

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search