Monday, 29 January 2018

MFANYIE MWANAMKE MAMBO HAYA 12 ILI AKUPENDE ZAIDI

MAMBO 12 YA KUMFANYA MSICHANA AKUPENDE ZAIDI
Leo tunakuletea mambo 12 ambayo inaaminika kuwa ukimfanyia msichana ambaye upo naye kwenye uhusiano au unataka kuanza nae uhusiano, basi atakupenda zaidi.
Mambo haya 12 yameandikwa katika mchanganyiko wa lugha mbili, yaani Kiswahili na Kiingereza. Ukimaliza kusoma tuandikie maoni yako kama unayaamini mambo haya yanaweza kuongeza upendo kwa mwenza wako na pia usisahau kumshirikisha mwenzako.
1. Kiss her hands, forehead and nose regularly – nimesema hands sio lips!! Unless ni zile lips zengine…hio inakubalika.
2. When crying DO NOT ask her why she is crying, just hold her tight na sio kumshika kama unamnyonga hadi anashindwa kupumua. Hizo nguvu peleka shambani.
3. Let her stay with your phone for one day just to build trust- sio kuenda na phone hadi bafuni.. unaficha nini?? ama phone yako pia inaoga?
4. Hold her waist from behind unaware, sasa kama uko na mpare utajua mwenyewe maana hawajuagi kutofautisha kiuno na mgongo, shida yako hiyo!!
5. DO NOT be mean with cash! unless ni wale wasichana wanashindanga wakikuomba pesa saa yote.
6. Never be too close to her friends for whatever reason *NEVER, si una marafiki zako, basi, wake achana nao kabisaa. Hio ni hatari, mwishowe utawapenda wote
7. Cover her with your jacket when its cold, hata kama kuna baridi hadi unatetemeka hadi  kila mahali panatoa viupele vya baridi, mpe jacket lako, Mwanaume ni kuvumilia.
8. STOP sagging, you’re no longer a teen. She might not tell you but it throws her off, unaonyesha watu makalio yako au boxer lako chafu na lililotoboka so what?? Pandisha suruali.
9. She will feel great if her picture is your phone or computers wallpaper, this applies to those with Smart Phones, kama unatumia nokia 3310 utamueka akiwa Ringtone.
10. Take her out once in a while, sio kukaa tu nyumbani kama umepigiliwa misumari sawa mzee?
11. Control your female friends, hii tabia ya kuitana baby, sijui bestie, mother na son na your female friends ni upuuzi. Hata kama alikuweka Friendzone mzee don’t stoop that low hadi unabandikwa majina ya kifagio.
12. Finally, try learning how to dance with her, sio mnaenda club unaanza kurukaruka kama popcorn, learn new styles.

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search