Monday, 15 January 2018

Msemaji wa Serikali: Serikali kutoa tamko kuhusu hatma ya gazeti la Nipashe

Kupitia Mtandao wa kijamii wa twitter msemaji wa Serikali amesema kuwa jioni ya leo Serikali itato tamko kuhusu gazeti la Nipashe. Ameandika kuwa 

"Jioni hii Serikali itatoa tamko kuhusu hatma ya gazeti la Nipashe, hatua walizochukua za ndani na msamaha walioomba kwa Rais Magufuli na Rais Kagame"


1.PNG

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search