Wednesday, 10 January 2018

MTANGAZAJI WA RADIO FREE AFRICA ZUBERI MSABAHA AFARIKI DUNIA

Zuberi Msabaha enzi za uhai wake
 ****
Mtangazaji wa wa Radio Free Afrika hasa kipindi cha Muziki wa Bolingo na nyimbo za Kongo Zubery Msabaha amefariki dunia jijini Mwanza.

Zuberi Msabaha alikuwa ameugua kwa muda mrefu.Msiba upo Mabatini jijini Mwanza na mazishi yatafanyika leo saa 10 jioni.

Taarifa zaidi tutawaletea hivi punde.

R.I.P Zuberi Msabaha.

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search