Tuesday, 2 January 2018

Mwanamuziki Nguza Viking 'Babu Seya' na wanae wafika Ikulu leo kutoa shukurani kwa Rais Magufuli

Mwanamuziki Nguza Vicking “Babu Seya” na wanae Johnson Nguza “Papii Kocha”, Francis Nguza na Michael Nguza walipofika Ikulu jijini Dar Leo (Januari 2, 2018) kumshukuru Rais Magufuli kwa msamaha wake alioutoa kwao dhidi ya kifungo cha maisha walichokuwa wakikitumikia
Mwanamuziki Nguza Vicking “Babu Seya” na wanae Johnson Nguza “Papii Kocha”, Francis Nguza na Michael.


Nguza walipofika Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 2, 2018 kumshukuru Rais Magufuli kwa msamaha wake aliotoa kwao dhidi ya kifungo cha maisha walichokuwa wakitumikia gerezani tangu walipohukumiwa miaka 13 iliyopita.

VIDEO
[​IMG]

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search