Friday, 26 January 2018

RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DK.SHEIN AKIENDELEA NA ZIARA YAKE UMOJA WA FALME ZA KIARABU

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na mwenyeji wake Mtukufu Sheikh Sultan Bin Mohammed Al Qasimi Supreme Council
Member and Ruler of Sharjah, wakielekea katika chumba cha mkutano baada ya kuwasili katika Makazi yake kwa mazungumzo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mtukufu Mfalme Shaikh Sultan Bin Mohammed Al Qasimi, alipofika
katika makazi yake akiwa katika ziara ya kutembelea Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu UAE. Kushoto Viongozi wa Juu wa Serikali
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, na Mtukufu Shaikh Sultan Bin Mohammed, Al Qasimi Supreme Council Member and Ruler
of Sharjah, wakifurahia jambo wakati wa mazungumzo yao yaliofanyika katika jengo la Makazi ya Mfalme Sharjah.
Mtukufu Mfalme Shaikh Sultan Bin Mohammed Al Qasimi akiwa katika mazungumzo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, alipofika katika makaazi yake Mjini Sharjah,wakati wa ziara yake katika Nchi za Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu UAE
Ujumbe walioongozana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi katika ziara yake katika Nchi za Umoja wa Falme za Nchi za Kiarabu UAE.
Viongozi wa Juu wa Serikali ya Mfalme wa Sharjah wakiwa katika ukumbi wa mkutano na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na mwenyeji wake Shaikh Sultani Bin Mohammed wakitoka katika ukumbi wa mkutano
baada ya kumaliza mazungumzo yao, yaliyofanyika katika makazi yake Nchini Sharjah
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na mwenyeji wake Mtukufu Shaikh Sultani Bin Mohammed baada ya kumaliza mazungumzo yao, yaliofanyika katika makazi ya Mfalme Nchini Sharjah.

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search