Wednesday, 31 January 2018

Serikali ya Kenya Yapiga Marufuku Kundi la NRM la Raila Oding-.Lawekwa Kundi Moja na Al Qaeda


KENYA: Serikali kupitia Waziri wa Usalama, Dkt Fred Matiang’i amepiga marufuku kundi la na National Resistance Movement (NRM) lililopo chini ya Muungano wa Upinzani (NASA)
-
Kundi hilo liliundwa baada ya Raila Odinga kususia uchaguzi wa marudio na limekuwa katika harakati za kuipinga Serikali na kuhimiza watu kususia bidhaa za makampuni ambayo yanadaiwa kuwa upande wa Serikali
-
Waziri huyo wa Usalama ameliweka kundi la NRM kwenye orodha moja na makundi ya kigaidi kama Al Shabaab na Al Qaeda

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search