Wednesday, 31 January 2018

Serikali yataja sifa za walimu wa sekondari watakaorudishwa kufundisha shule za msingi

DODOMA: Serikali imesema walimu wa sanaa watakaohamishwa kutoka shule za Sekondari kwenda kufundisha Shule za Msingi ni wale waliokuwa wanafundisha Shule za msingi awali kabla ya kujiendeleza

Kutokana na sababu hiyo hakutakuwa na haja ya kuwapa mafunzo mapya ya namna ya kufundsha wanafunzi wa shule za msingi

Pia watakaohamishwa watapelekwa kwenye shule za msingi zilizopo kwenye kata moja na shule ya Sekondari waliyokuwa wanafundisha na hivyo hakutakuwa na gharama za uhamisho

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search