Wednesday, 31 January 2018

Watuhumiwa Waliovua Nguo na Kugoma Kuingia Mahakamani Wahakumiwa Miezi 6 Jela

ARUSHA: Watuhumiwa 24 wa kesi ya ugaidi wamehukumiwa kifungo cha miezi 6 jela kwa kosa la kuvua nguo na kugoma kuingia mahakamani kusikiliza kesi inayowakabili.
-
Watuhumiwa walitenda kosa hilo Januari 17 kupinga kucheleweshwa kwa upelelezi wa kesi inayowakabili
-
Hakimu wa kesi hiyo, Nestory Baro amesema ametoa hukumu hiyo ili iwe fundisho kwa wengine watakaoonyesha vitendo hivyo alivyoviita sio vya kistaarabu
-
Baada ya hukumu hiyo baadhi ya watuhumiwa walivua tena nguo walipokuwa wanapandishwa kwenye gari kupelekwa gerezani

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search