Wednesday, 28 February 2018

Aida Olomi aliyejeruhiwa kwa risasi na wenzake wawili wa CHADEMA wafikishwa mahakama ya Kisutu, waachiwa kwa dhamana

Aida Olomi na wenzake wawili waachiwa kwa dhamana katika mahakama ya Kisutu baada ya kukamilisha taratibu zote za kimahakama ikiwemo ya kuweka bondi ya shilingi million moja na nusu kila mmoja pamoja na kutotoka nje ya Mkoa wa Dar es salaam.

Kwa sasa Aida na wenzake wanafanyiwa utaratibu wa kupata matibabu ya jeraha waliopata kutokana na risasi. Hata hivyo Mbunge wa Jimbo la Ubungo Said Kubenea ameendelea kusisitiza uwepo wa tume huru kwa ajili ya uchunguzi wa matukio haya.

FB_IMG_1519814044432.jpg 
IMG_20180228_142105.jpg

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search