Monday, 26 February 2018

BREAKING NEWS;-Mbunge wa Mbeya Joseph Mbilinyi "Sugu" na Emmanuel Masonga, Wahukumiwa kwenda jela miezi MitanoIMG_20180226_094719.jpgIMG_20180226_100242.jpgIMG_20180226_101045.jpg


IMG_20180226_103612.jpg
IMG_20180226_103437.jpg
Mahakama imewahukumu Mbunge, Joseph Mbilinyi na Katibu wa Kanda ya Nyasa, Emmanuel Masonga(CHADEMA) kwenda jela miezi 5.


Mhe Joseph Mbilinyi SUGU alisema ” Mhe Rais Magufuli hawezi kupendwa na watu kwa kumshoot risasi Lissu, kumtupa Jela miezi minne Lema, kumteka Ben saanane, kumteka Roma na kumzuia SUGU asiongee..!!”....

Wakili wa washtakiwa Boniphace Mwabukusi amesema wanakwenda kuandaa maombi ya dhamana pamoja na kukata rufaa, wamepewa muda wa kuandaa rufaa hiyo na kuiwasilisha Leo.

Sugu na Masonga walishtakiwa kwa kosa la kutumia lugha ya fedheha dhidi ya Rais John Magufuli ambayo waliyatoa katika mkutano wa hadhara walioufanya Desemba30 mwaka 2017 wakiwa viwanja vya Shule ya Msingi Mwenge jijini Mbeya.
sugu9.jpg

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search