Wednesday, 28 February 2018

Breaking News : TRENI YA ABIRIA YAANGUKA UVINZA - KIGOMA IKITOKA DAR ES SAALAMHabari tulizozipata hivi punde kutoka mkoani Kigoma zinaarifu kuwa Treni ya abiria iliyokuwa inatoka jijini Dar es saalam kwenda mkoa wa Kigoma imeanguka katika eneo la Malagarasi wilaya ya Uvinza jioni hii siku ya Jumatano Februari 28,2018.


Mwandishi wa Malunde1 blog Editha Karlo anasema kichwa cha treni hiyo kimetoka nje ya njia yake na behewa mbili zimeanguka na kwamba taarifa za awali ni kwamba hakuna mtu aliyepoteza maisha.

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search