Monday, 5 February 2018

CHADEMA YASITISHA KAMPENI ZA UBUNGE LEO JUMATATU ILI KUMZIKA MZEE KINGUNGE

Image result for MBOWE NA KINGUNGE
Kwa heshima ya Mzee wetu Kingunge, leo Jumatatu 05/02/2018 CHADEMA haitafanya mikutano ya kampeni ili kushiriki shughuli ya maziko ya baba yetu, mpiganaji aliyechagua kuyapigania bila woga mabadiliko ya kweli hapa nchini.

Tutatoa heshima za mwisho na kuuaga mwili wa Kingunge Karimjee na baadae kwenye kumpumzisha Mzee wetu kwenye makaburi ya Kinondoni.

Wananachama wa CHADEMA, wapenzi, mashabiki na wananchi wote kwa ujumla mnakaribishwa kumsindikiza baba yetu katika safari yake ya mwisho.

Bwana ametoa, Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe, Amina.

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search