Thursday, 15 February 2018

FC PORTO YACHEZEA KICHAPO CHA MBWA MWIZI TOKA KWA LIVERPOOL

Sadio Mane
Haki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionSadio Mane amefunga mabao sita katika Champions League msimu huu
Sadio Mane walifunga hat-trick wakati Liverpool walipata ushindi mkubwa kwa kuwalima FC Porto 5-0
Sadio Mane alikuwa wa kwanza kutikiza wafu wa kipa Jose Sa.
Mohamed Salah akafuatia na bao la pili na lake la 31 tangu ajiunga na Liverpool
LiverpoolHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionLiverpool wako katika awamu ya maondoano katika Champions League kwa mara ya kwanza katika miaka saba
Mashambulizi ya counter-attack ya Liverpool yalisababisha Sa kuutema mkwaju kutokana na shambulizi lililofanywa na Mane baada ya kupata mpira safi kutoka kwa Roberto Firmino kabla ya Firmino kufunga bao lake la 21 kwenye msimu.
Mohamed SalahHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionSalah amefunga mabao 30 kwa mechi 37 akiichezea Liverpool msimu huu
Porto imepoteza mechi mbili tu katika mashindano yote kabla ya mechi ya Jumatano lakini wakati huu ilishindwa kustahimili kishindo cha Liverpol kutoka kwa washambuliaji walionolewa.
Sadio ManeHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionSadio Mane ndiye mchezaji wa nne wa Liverpool kufungua kwa hat-trick katika Champions League, baada ya Michael Owen, Yossi Benayoun na Philippe Coutinho

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search