Tuesday, 6 February 2018

Freeman Mbowe agoma kupokea mkono wa Prof. Lipumba mazishi ya Kingunge makaburi ya Kinondoni

Screenshot_20180205-203531.png
Uhasama baina ya CUF na CHADEMA umechukua muelekeo mpya baada ya kitendo cha Mhemishiwa Freeman Mbowe kugoma kupokea mkono wa Lipumba na kugoma kumpa siti ya kukaa; Ingawa huu uhasama umekolezwa na uchaguzi wa ubunge Kinondoni baada ya CUF kusimamisha mgombea; Na CHADEMA kusimamisha Mgombea; Na kauli ya Lipumba kumfuta kazi diwani wa CUF anaye mnadi mgombea ubunge wa CHADEMA.

Huu ni muendelezo baina ya Maalim Seif alivyogoma kwa Dr. Shein

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search