Thursday, 15 February 2018

HII NDIO REKODI ILIYOWEKWA NA RONALDO KWENYE CHAMPIONS LEAGUE

Image may contain: one or more people and outdoor
Cristiano Ronaldo amefunga magoli 10 au zaidi katika misimu 7 mfululizo ya Champions League:
.
2017/18
10 goals
.
2016/17
12 goals
.
2015/16
17 goals
.
2014/15
10 goals
.
2013/14
17 goals
.
2012/13
11 goals
.
2011/12
10 goals
:
Hakuna mchezaji mwingine aliyewahi angalau kutimiza magoli 10 au zaidi kwa misimu miwili mfululizo.

Post a Comment

Whatsapp Button works on Mobile Device only

Start typing and press Enter to search